1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiVatican

Idhini ya Papa wapenzi wa jinsia moja ina maana gani?

Rashid Chilumba19 Desemba 2023

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametoa idhini kwa makasisi wa kanisa hilo kutoa baraka kwa watu walio kwenye mahusiano ya jinsia moja. Lakini nini hasa maana ya kutoa baraka ndani ya kanisa? Rashid Chilumba amezungumza na Askofu Methodius Kilaini, ambaye ni msimamizi wa kitume wa jimbo katoliki la Bukoba nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4aKfC