1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya wakimbizi wa ndani Gaza yaongezeka kwa kasi

16 Oktoba 2023

Takribani watu milioni moja katika eneo la Ukanda wa Gaza wapotezewa makazi yao tangu kuzuka mgogoro wa Israel na kundi la Hamas. DW imetembelea kambi moja inayoratibiwa na Umoja wa Mataifa. Jionee hali ilivyo.

https://p.dw.com/p/4XbXA