1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ndogo ya wapiga kura yashuhudiwa Kenya

9 Agosti 2022

Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini Kenya inayofanya uchaguzi mkuu Jumanne. Kufikia wakati wa mchana, hakuna foleni ndefu za watu zilizoshuhudiwa hata katika maeneo yanayojulikana kwa kujitokeza kwa wapiga kura wengi.

https://p.dw.com/p/4FKWf

Kutaka kupata ufahamu kuhusu hali hii, Tatu Karema amezungumza na mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Kenya, Herman Manyora ambaye ameanza kwa kutoa tathmini yake.