1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ICTR kuikabidhi Rwanda washukiwa

Samia Othman17 Januari 2012

Kwa mara ya kwanza mahakama ya kimataifa kwa ajili ya Rwanda iliyoko Arusha nchini Tanzania ICTR, imeikabidhi serikali ya Rwanda faili la mshukiwa wa mauaji ya kimbari.

https://p.dw.com/p/13kku
UN-Tribunal in Tansania gegen mutmaßliche ruandische Kriegsverbrecher. Presiding judge of the Chamber Llyod Williams of St. Kitts and Nevis speaks during a session of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) in Arusha, Tanzania, Tuesday 02 April 2002. The long-awaited trial of four suspected masterminds of the 1994 Rwandan genocide opened at the UN court here Tuesday in the absence of the accused, the independent Hirondelle news agency reported. The UN Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR) is trying former Rwandan defence ministry adviser Theoneste Bagasora and three former military leaders, Anatole Nsengiyumva, Aloys Ntabakuze and Gratien Kabiligi on genocide and other charges. dpa
Mahakama ya Umoja wa mataifa juu ya mauaji ya Rwanda iliyoko Arusha,TanzaniaPicha: picture-alliance/dpa

Mwendesha mashtaka mkuu wa ICTR Abubakar Jallow anasema huo ni mwanzo wa kuwakabidhi washukiwa zaidi Rwanda wakati mahakama hiyo ikijiandaa kukamilisha shughuli zake. Kitendo hicho kimefanyika miaka miwili baada ya ICTR kukataa kuwapeleka washukiwa Rwanda kwa madai kwamba hawatapewa hukumu ya haki.

Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi

Mwandishi Sylivanus Karemera

Mhariri Yusuf Saumu