1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Huduma za afya za kidijitali zinavyowanufaisha wagonjwa

Sylvia Mwehozi
25 Januari 2023

Sema Uvume inagalia jinsi programu mbalimbali na mifumo ya teknolojia barani Afrika ilivyoweza kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wagonjwa, ikiwa ni mapinduzi katika sekta ya afya kwa njia ya dijitali. Muandaji na msimulizi ni Sylvia Mwehozi, na moja kwa moja nitajielekeza nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4Mg76