1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hospitali katika Ukanda wa Gaza zaelemewa

Hawa Bihoga
29 Januari 2024

Jeshi la Israel vimekaribia hospitali ya Nasser huko Gaza, hospitali kubwa pekee ambayo bado inafanya kazi katika eneo la Khan Younis, hata hivyo mbali na kitisho cha vikosi vya Israel, wanakabiliwa pia na uhaba wa vifaa tiba.

https://p.dw.com/p/4blTu