1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hoja za wanaharakati wa mazingira katika COP28

7 Desemba 2023

Nchi zinazoshiriki mkutano wa kilele wa Tabianchi wa Umoja wa Mataifa COP28 mjini Dubai, zinazingatia kutoa wito wa kukatizwa rasmi kwa matumizi ya nishati ya visukuku kama sehemu ya makubaliano ya mwisho ya mkutano huo wa kimataifa kukabiliana na ongezo la joto duniani. Bruce Amani amezungumza na Obed Koringo, mshauri wa sera za tabianchi kutoka shirika lisilo la kiserikali la CARE International

https://p.dw.com/p/4Zsly