1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hoja za kufuta kesi dhidi ya washtakiwa Tanzania zina uzito?

Babu Abdalla22 Septemba 2021

Mwenendo wa upande wa serikali Tanzania kufuta kesi za watuhumiwa mbalimbali kwa madai ya kukosa ushahidi au kutokuwa na nia ya kuendelea nazo umeibua maswali juu ya msingi wa kesi zenyewe na haki za wanaotuhumiwa. Zaidi juu ya hilo Babu Abdalla amezungumza na wakili Fatma Karume kutoka Tanzania na kwanza amemuuliza hoja ambazo hutolewa na upande wa serikali wa kufuta kesi mbalimbali zina uzito?

https://p.dw.com/p/40faf