1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya Ebola yatanda Busia, Kenya

22 Septemba 2022

Wizara ya afya nchini Kenya imeweka tahadhari kwenye mpaka wake na Uganda baada ya taifa hilo kuripoti maambukizi ya ugonjwa wa Ebola, Shirika la Afya duniani WHO likitangaza mripuko wa Ebola nchini Uganda, baada ya mwanamume mwenye umri wa miaka 24 kufariki.

https://p.dw.com/p/4HBhW