1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hivi maisha bora yapo ughaibuni?

9 Agosti 2023

Kumekuwa na dhana na hasa kwa vijana wengi kwamba maisha mazuri yapo huko ughaibuni, hatua iliyosababisha wengi kuamua kutafuta namna ya kwenda huko. Wanasema wanaweza kupata kazi kirahisi huko na Afrika ambako wanaona kuna umasikini na hakuna fursa za ajira iwe. Je, hili lina ukweli gani? #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4UwmW