1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hisia mseto baada ya DRC kumfurusha balozi wa Rwanda

Benjamin Kasembe31 Oktoba 2022

Baadhi ya Wakongamani wameiunga mkono hatua ya kumfurusha Vincent Karega lakini wengine wameonya kuwa sasa sio muda wa kusitisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili. Miito ya kutaka kufukuzwa kwa balozi huyo mjini kinshasa ilianza kuongezeka mapema mwezi wa Mei wakati kuliposhamiri tuhuma kuwa Rwanda inaliunga mkono kundi la waasi wa M23. Sikiliza ripoti ya Benjamin Kasembe kutoka mjini Goma.

https://p.dw.com/p/4IsRz