1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hisia kutokana na kauli ya Papa Francis kuhusu utoaji mimba

Sudi Mnette11 Oktoba 2018

Miongoni mwa mijadala mikubwa kwa wakati huu ni kauli ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ya kukilinganisha kitendo cha kutoa mimba sawa na kumuajiri muuwaji. Papa alizungumza mjini Vatican, akisema kutoa mimba ni sawa na kumuua mtu. Sudi Mnette amezungumza na mwanaharakati, ambae pia ni mkurugenzi wa shirika la utetezi wa wanawake "Wote Sawa" Angella Benedict kuhusu kauli hiyo.

https://p.dw.com/p/36LlY