1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Higini Mwacha ana ndoto ya kuwa tajiri

Veronica Natalis
8 Februari 2019

Kutana na Higini Mwacha mwanamke mwenye umri wa miaka 35, ambaye anandoto za kuwa tajiri mkubwa barani Africa.

https://p.dw.com/p/3D1X3
Tansania Shinyanga Higini Mwacha
Higini Mwacha mwanamke mfanyabiashara anayemiliki kambuni ya VANSON MICROFINANCE, akiwa kazini kwake ShinyangaPicha: DW/V. Natalis
Tansania Shinyanga Higini Mwacha
Higin Mwacha, mwanamke mfanyabiashara anayemiliki kampuni ya VANSON MICROFINANCE inayojihusisha na kutoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali ShinyangaPicha: DW/V. Natalis