SiasaHatimaye Trump akutana ana kwa ana na KimTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSylvia Mwehozi12.06.201812 Juni 2018Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un umemalizika nchini Singapore. Viongozi hao wametia saini nyaraka ya pamoja ya makubaliano kuhusu mambo kadhaa. Papo kwa Papo 12.06.2018.https://p.dw.com/p/2zLMDMatangazo