1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatimaye malori ya Kenya yaanza kuingia Uganda

11 Januari 2022

Mlolongo wa malori ya mizigo katika mpaka wa Kenya na Uganda umeanza kupungua baada ya mamlaka nchini Uganda kuanza kuwapima COVID-19 madereva kutoka Kenya bila kuwatoza ada zozote. Kwa juma moja malori yalirundikana baada ya madereva wa Kenya kupinga ada ya dola 30 sawa na shilingi elfu 3 za Kenya ili kupimwa COVID-19 ndio waruhusiwe kuingia nchini Uganda. Shisia Wasilwa alituarifu zaidi.

https://p.dw.com/p/45N0v