1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari za kutumia jiko la gesi

Salma mkalibala14 Julai 2020

Matumizi ya majiko ya gesi yameongezeka nchini Tanzania katika miaka ya hivi karibuni, lakini pia yana madhara yake. Kwavile gesi inashika moto mara moja na kusababisha madhara mabaya iwapo kutakosekana uangalifu mzuri.

https://p.dw.com/p/3fIs1