1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari ya takataka za sumu Kenya

Reuben Kyama3 Januari 2013

Umuhimu wa suala la usafi wa mazingira unatiliwa mkazo sana kwa ajili ya mwanaadamu kupata eneo salama la kuishi kwenye sayari ya dunia, lakini ongezeko la kemikali na takataka za sumu mashariki ya Afrika linatia shaka.

https://p.dw.com/p/17Cwg

Reuben Kyama anazungumzia namna juhudi za ulinzi na utunzaji wa mazingira zinavyotanzwa na mrundikano wa kemikali na takataka za sumu nchini Kenya.