1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harry Kane, moto wa kuotea mbali Bundesliga

Babu Abdalla25 Septemba 2023

Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane amefunga mabao saba katika michezo mitano ya Ligi Kuu ya Ujerumani Bundesliga - hakuna mchezaji mwengine wa Bayern aliyefunga mabao mengi kama Kane katika mechi tano za kwanza za ligi kuu. Miamba hao watakuwa ugenini Jumamosi ijayo kucheza na RB Leipzig uwanjani Red Bull Arena.

https://p.dw.com/p/4Wmvx