1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harakati mpya za maandamano ya Kenya zinalenga nini?

Saumu Yusuf16 Julai 2024

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Nairobi Dkt Barack Muluka ametoa mtazamo wake kuhusu harakati hizi mpya za maandamano ya vijana dhidi ya serikali ya Kenya. Alizungumza na Saumu Mwasimba wa DW.

https://p.dw.com/p/4iNrq