1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Naki: Msimamizi wa maambara, bila ya elimu ya juu.

Yusra Buwayhid
28 Aprili 2020

Licha ya kukosa elimu ya juu, Hamilton Naki aliyeishi wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini, alianza maisha kama msimamizi wa bustani na baadae kuja kuwa msimamizi wa maambara ya utafiti wa kisayansi ambaye mchango wake unakumbukwa hadi hii leo.

https://p.dw.com/p/3bV4C