1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya Taita Taveta ni ya utulivu

9 Agosti 2022

Katika eneo la nyanda za juu la Pwani huko Taita Taveta nchini Kenya ambako hali kwa ujumla imeripotiwa kuwa ya utulivu licha ya purukashani kujitokeza katika kituo kimoja cha kupigia kura. Josephat Charo amezungumza na mwandishi habari Darius Kisaka aliyekuwa katika eneo la Taveta.

https://p.dw.com/p/4FKG7