1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya taharuki siku chache kabla ya uchaguzi Uganda

8 Januari 2021

Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu, mjadala umeibuka kuhusu nafasi ya jeshi la Uganda kwenye kuelekea upigaji kura baada ya baadhi ya maafisa wake kunukuliwa hadharani wakisema itakuwa vigumu kuruhusu mwanasiasa wa upinzani kuchukua hatamu za uongozi. Matamshi kama hayo yanazusha wasiwasi kiasi gani kuelekea uchaguzi? Rashid Chilumba amezungumza na mchambizi wa siasa za Uganda Ali Mutasa

https://p.dw.com/p/3ngGd