1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiChina

Hali ya maambukizo ya UVIKO-19 ikoje nchini China?

Daniel Gakuba28 Desemba 2022

Taarifa za hivi karibuni kutoka China zimeelezea mripuko mkubwa wa ugonjwa wa UVIKO-19 baada ya nchi hiyo iliyokuwa na hatua kali za kupambana na kuenea kwa ugonjwa huo kuyalegeza masharti yake. Lakini je, wananchi wa kawaida katika nchi hiyo wanauzungumziaje mripuko huo? Daniel Gakuba amezungumza na Justus Jeremiah, mkufunzi wa chuo kikuu nchini China.

https://p.dw.com/p/4LVCN