1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya haki za binadamu ikoje nchini Tanzania?

Florence Majani15 Novemba 2021

Makala ya Mbiu ya Mnyonge inaangazia hali ya haki za binadamu nchini Tanzania na maoni yaliyotolewa na wadau wa kitaifa na kimataifa kuhusu mada hiyo.

https://p.dw.com/p/42zkZ