1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya haki za binadamu Afrika Mashariki

Josephat Charo
10 Desemba 2020

Leo ni siku ya kimataifa ya haki za binadamu. Kauli mbiu inaangazia vipi kusimama tena na kupiga hatua zaidi kutetea haki za binadamu hata baada ya janga la COVID-19. John Juma amezungumza na afisa wa shirika la Huma Rights Watch jijini Nairobi Audrey Wabwire.

https://p.dw.com/p/3mWG1