1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya demokrasia ikoje Afrika Mashariki?

Sudi Mnette15 Septemba 2022

Mwaka huu maadhimisho ya demokrasia yamejikita katika kuzingatia umuhimu wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia, amani, na kutimiza maendeleo endelevu. Je hali hiyo ikoje Afrika Mashariki? Sudi Mnette amemhoji Vitor Bwire ambaye ni mkurugenzi wa mafunzo katika Baraza la Habari la Kenya. Sikiliza!

https://p.dw.com/p/4GvxA