1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali inaendelea kutulia Goma

Samia Othman4 Desemba 2012

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetuma kikosi cha jeshi katika mji wa Goma kusaidiana na askari polisi walioko ili kusimamia kurudi kwa maisha ya kawaida katika mji huo wa mashariki mwa Kongo.

https://p.dw.com/p/16vLk
In this March 29, 2010 photo, residents walk along a central street in Goma, Congo, against the backdrop of Mount Nyiragongo, one of Africa's most active volcanos. Mount Nyiragongo is the ultimate symbol of death in Goma, the lakeside city it shadows and has overrun several times. Yet it's also a symbol of rebirth and resilience for a nation slowly emerging from war. In March, park rangers cleared Rwandan militias from its slopes and reopened the summit for the first time in a year and a half. (AP Photo/Rebecca Blackwell)
Mji wa GomaPicha: AP

Mji wa Goma ulikuwa mikoni mwa waasi wa M23, kabla ya kuurejesha mikononi mwa serikali siku tatu zilizopita. Kwa taarifa zaidi ya mwandishi wetu Jonh Kanyunyu, bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

Mwandishi: Jonh Kanyunyu
Mhariri: Mohammed Khelef