1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Hali ilivyo Ukraine na Urusi mwaka mmoja wa vita

22 Februari 2023

Ijumaa ya tarehe 24 Februari unatimia mwaka mmoja tangu Urusi ilipoivamia Ukraine, katika kile Moscow ilichokiita ''Operesheni maalum ya kijeshi,'' huku Ukraine na washirika wake wakiuita uvamizi usio na sababu yoyote.

https://p.dw.com/p/4Np7l

Katika makala ya Mwangaza wa Ulaya, Daniel Gakuba anazungumzia jinsi vita hivyo vilivyobadilisha maisha ya watu wa Ukraine na Urusi na athari zake barani kote Ulaya na kwingineko duniani.