1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ilivyo nchini Malawi baada ya Kimbunga Freddy

Sudi Mnette21 Machi 2023

Kinaga Ubaga leo inaangazia hali ilivyo nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kusababisha maafa makubwa huko Malawi, Msumbiji na Madagascar. Sudi Mnette wa DW anazungumza na Daudi Makamba ambaye ni Mtaalamu wa maji, elimu ya afya na usafi wa mazingira kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto UNICEF ambaye yuko huko Blantyre, Malawi.

https://p.dw.com/p/4OyGb