1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ilivyo kwa wanafunzi wa Afrika Mashariki Ukraine

Jacob Bomani28 Februari 2022

Wanafunzi wa mataifa ya Afrika Mashariki wanaosoma Ukraine nao wameathirika na uvamizi wa Urusi. Tumezungumza na Msabbah Salum Msabbah mwanafunzi wa Kitanzania aliye katika Chuo Kikuu cha Sumy kilichoko mji wa Sumy, mashariki mwa Ukraine

https://p.dw.com/p/47i00