1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

HafenCity: Mjiwa viwango vya kisasa Hamburg

2 Januari 2020

Mji wa HafenCity Hamburg unaweka viwango vipya - angalau barani Ulaya - katika ushirikishi wenye mafanikio wa maendeleo ya miji yanayozingatia mahitaji ya wenyeji, ukuaji endelevu wa miji. Sudi Mnette alizuru mji wa Hamburg kujionea mradi huu wa kipekee.

https://p.dw.com/p/3VbQT