1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
TeknolojiaNigeria

Habari za uongo zinavyogubika kampeni za kisiasa Nigeria

Sylvia Mwehozi14 Februari 2023

Katika makala ya Sema Uvume Sylvia Mwehozi anatazama namna habari za uongo za kwenye mitandao zilivyogubika kampeni za uchaguzi wa Nigeria na kutumiwa na wanasiasa.

https://p.dw.com/p/4NSVp