1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Habari za Asubuhi: 19.05.2017

19 Mei 2017

Rais wa Marekani Donald Trump akanusha kumuomba mkurugenzi wa zamani wa FBI kusitisha uchunguzi dhidi ya mshauri wake wa zamani wa usalama wa taifa. Umoja wa Mataifa umesema pande zinazohasimiana Syria zimekubaliana kuhusu mchakato wa kikatiba. Na wapigakura nchini Iran leo wanamchaguwa rais mpya wa taifa hilo.

https://p.dw.com/p/2dDza