1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gumzo Lewandowski atimkia Barcelona

Josephat Charo
18 Julai 2022

Hisia mseto zajitokeza Allianz Arena, Mashine ya kufunga magoli ya Bayern Munich, Robert Lewandowski ajiunga na kikosi cha Barcelona safarini Marekani. Serge Gnabry arefusha mkataba hadi 2026. Mshambuliaji mpya wa Borussia Dortmund Sebastian Haller asema hana presha kujaza pengo la Erling Haaland Signal Iduna Park.

https://p.dw.com/p/4EIdF