1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gharama za maisha zatawala kampeni za siasa Kenya

Sylvia Mwehozi
21 Julai 2022

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya wa Agosti 9 2022, ukali wa maisha na kupanda kwa bei za bidhaa za msingi ni masuala muhimu ambayo wapiga kura wanataka ufafanuzi kutoka kwa wanasiasa. #Kurunzi

https://p.dw.com/p/4ESqs