1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gervais Ndirakobuca waziri mkuu mpya Burundi

7 Septemba 2022

Rais wa Burundi Evarist Ndayishimiye leo amemfuta kazi waziri mkuu wa taifa hilo Alain Guillaume Bunyoni katika mabadiliko ya ghafla ya serikali yaliyoidhinishwa na mabaraza mawili ya Bunge. Mvutano baina ya viongozi hao uliendelea kufukuta katika siku za hivi karibuni lakini kulikuwa hakuna taarifa za bayana. Rashidi Chilumba amezungumza na mwandishi wa DW Hamida Issa.

https://p.dw.com/p/4GWOX