1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Gabon: Ifahamu familia ya Bongo ambayo imetawala Gabon kwa miaka 56

1 Septemba 2023

Tangu mwaka 1967, nchi ya Gabon imetawaliwa na familia moja ya Bongo. Walichanganya mamlaka ya kimabavu, unyakuzi wa mali nyingi lakini pia familia ilikumbwa na masaibu kadhaa. Fahamu mengi zaidi kwenye Kurunzi.

https://p.dw.com/p/4Vqef