1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fundi matairi ya gari mwanamke Msumbiji

Hawa Bihoga
31 Agosti 2022

Grace Mario Hale, Apambana na tatizo la uhaba wa ajira, Aliamua kuchagua kazi ambayo mara zote imefanywa na wanaume kwenye jamii yake, ufundi wa magari hususani upande wa matairi.

https://p.dw.com/p/4GHbz