1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Freeman Mbowe atowa mwito katiba ibadilishwe Tanzania

Amina Abubakar12 Aprili 2021

Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA Freeman Mbowe ametoa wito wa kuwepo maridhiano kulirejesha taifa hilo katika kile alichokiita mkondo wa kidemokrasia.

https://p.dw.com/p/3rruI