1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

FRANKFURT: Tuzo ya Vitabu ya Ujerumani atunukiwa Muaustria

18 Oktoba 2005
https://p.dw.com/p/CEQk

Tuzo ya kwanza ya Vitabu ya Ujerumani imetunukiwa kwa mwandishi riwaya wa Austria kwa kitabu chake kilichopewa jina la Es geht uns gut ambacho kinamaanisha Tunafanya vizuri.

Tuzo hiyo kwa hadithi nzuri mpya ikiwa katika lugha ya Kijerumani itakuwa inatolewa kila mwaka katika Maonyesho Mashuhuri ya Vitabu yanayofanyika mjini Frankfurt.

Maonyesho ya mwaka huu yanafunguliwa leo hii.