1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fe:Karibuni 29.09.2018 - MP3-Stereo

Sudi Mnette27 Septemba 2018

Miongoni mwa utakayoyasikia katika kipindi cha Karibuni ni pamoja na shamrashamra za tamasha la unywaji pombe la Bavaria, Mafunzo ya fasihi kwa raia wa kigeni pamoja na kifo cha mtalii wa Kijerumani Zimbabwe kilichotokana na kukanyagwa na tembo. Jiunge na Sudi Mnette.

https://p.dw.com/p/35a4m
DW Kiswahili Gäste l Allen Chiombola, Alfred Urassa, Arafat Haji and Sudi Mnette
Picha: DW/S. Mwehozi