1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fatma asaidia kuboresha maisha ya wasichana Kwale

6 Oktoba 2021

Fatma Bakhtir, binti huyu mwenye umri wa miaka 25, wakili kitaaluma anatumia wakati wake mwingi kusaidia jamii kwa kuboresha hali zao haswa watoto wa kike waliodhulumiwa.

https://p.dw.com/p/41LmN