1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Familia 1,000 zaathirika na mafuriko, Kenya

3 Desemba 2019

Mvua nyingi inayoendelea kunyesha nchini Kenya imeendelea kusababisha maafa kwa raia, miongoni mwao familia zaidi ya 150 katika eneo bunge la Nyando kaunti ya Kisumu zilizolazimika kukimbilia maeneo salama kuepuka athari zaidi ya mafuriko ambayo tayari yamesababisha uharibifu mkubwa wa mali ikiwemo mimea shambani, kama Mussa Naviye alivyotuarifu.

https://p.dw.com/p/3UA49