1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu mengi kuhusu Maji Tiba (IV Fluid Therapy)

Tatu Yahaya18 Agosti 2023

Makala ya Afya Yako inaangazia kil kiitwacho kitaalamu kuwa 'IV Fluid therapy' lakini kwa kiswahili ni maji tiba, maji haya ni halisi ambayo hupitia michakato kadhaa na kuongezwa viambata dawa na hutumika kuwekwa moja kwa moja katika mishipa ya damu kwa lengo la kutibu ama kuongeza maji mwilini kwa mgonjwa.

https://p.dw.com/p/4VJn5