1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu mengi kuhusu Google

Elizabeth Shoo24 Agosti 2016

Katika Sema Uvume wiki hii, Elizabeth Shoo anaelezea historia ya Google, wamiliki wake, matumizi yake na kujibu maswali ya wasikilizaji kuhusu kampuni hiyo kubwa inayotumiwa na karibu kila mtu anayeingia mtandaoni.

https://p.dw.com/p/1JomW