1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fahamu kuhusu uchaguzi wa Bunge la Ulaya

6 Juni 2024

Uchaguzi wa Ulaya ni zoezi la kidemokrasia ambalo ni la pili kwa ukubwa duniani baada ya uchaguzi wa India. Wawakilishi 720 huchaguliwa kutoka nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya. Tizama zaidi kufahamu kuhusu uchaguzi huo unaofanyika mwaka huu 2024 baada ya miaka 5.

https://p.dw.com/p/4gjr7