1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Fürth yapata ushindi wa kwanza Bundesliga

Josephat Charo
13 Desemba 2021

Greuther Fürth waonja ushindi wa kwanza katika Bundesliga, huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakitanua mwanya kati yao na Borussia Dortmund. Huko nchini Tanzania tambo zakosekana baada ya derby ya kariakoo kumalizikia sare tasa.

https://p.dw.com/p/44CRz