1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

EURO 2024: Uhispania yasaka ufahari

24 Juni 2024

Kocha wa timu ya taifa ya Uhispania Luis de la Fuente anaamini kikosi chake kiko imara kupata ushindi wa tatu kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya Euro 2024 dhidi ya Albania. De la Fuente amesema wanahitaji kushinda kila mchezo, na kwamba ushindi ni fahari ya kutambuliwa na wanataka kuendelea kuboresha matokeo yao zaidi.

https://p.dw.com/p/4hRfT