1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Enzi ya Ronaldo na Messi ndio imekwisha?

18 Oktoba 2022

Tuzo za soka ulimwenguni za Ballon d'or zimekamilika usiku wa kuamkia leo mjini Paris Ufaransa, mshambuliaji wa Real Madrid Karim Benzema ametwaa tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwaka. Hawa Bihoga amezungumza na mwandishi wa habari mstaafu wa DW Kiswahili na pia mchambuzi wa soka Sekione Kitojo ambaye kwanza anaeleza namna alivyopokea ushindi huo.

https://p.dw.com/p/4IMaV