1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Enzi ya Orban inaelekea ukingoni nchini Hungary?

27 Oktoba 2021

Makala ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii inaangazia juhudi za wapinzani Hungary za kumuondoa madarakani waziri mkuu mwenye msimamo mkali wa taifa hilo Viktor Orban. Msimulizi ni Lillian Mtono.

https://p.dw.com/p/42GCu